TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR

UTAMBUZI WA ENEO LA KUPIGIA KURA


Muongozo Kwa Mtumiaji

  • Tumia ukurasa huu kuweza kutambua kituo chako cha kupigia kura pamoja pamoja na taarifa zako muhimu.
  • Ingiza namba kama inavyoonekana kwenye kitambulisho chako cha Mpiga kura,Mfano 000000000 .
  • Baada ya kuingiza nambari ya kitambulisho cha mpiga kura bonyeza kitufe kilicho andikwa "Tafuta".
  • Ikiwa kuna taarifa zako haziko sahihi,tafadhali wasilisha tatizo lako katika Ofisi ya Tume ya Wilaya uliyojiandikishia

TUMIA NAMBARI YA KITAMBULISHO CHAKO